Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) liliratibu udahili wa wanafunzi kwa ngazi ya Astashahada na Stashahada kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kuanzia tarehe 28 Mei, 2025. Zoezi la udahili lilikamilika tarehe 28 Oktoba, 2025.